Hii picha siiamaini kwani mwaka 1992 nilikuwa Sydney Austrailia mwaka mzima kabla sijaenda New Zealand. Kipindi hicho chote sikuwahi kukosa matamasha yote yanayotoka Afrika: Oliver Mutukuzi, Lucky Dube, Bhundu Boys, Kanda Bongo Man, pamoja na Mbilia Beli aliyekuja pamoja na bwana yake mdogo sana akiitwa Rigo Star. Super Matimila hakutinga Sydney mwaka huo, na hivyo nina wasiwasi kama kweli alitinga Australia kwani Sydney ndicho kilikuwa kitovu cha mastarehe wakati huo kiasi kuwa kila mwanamuziki wa kiafrika angependa kuperform pale Bondi au Randwick au Sydney North Harbour.Baadhi wa wanamuziki wa super matimila wakiwa nchini AUSTRALIA mwaka 1992
Kutoka kushoto COSMAS THOBIAS CHIDUMULE
KATIKATI YUSSUFU SUBWA huyu ndiye kaka yake RASHIDI IDDI CHAMA alikuwa anapiga drum
Mwisho mkongwe MJUSI SHEMBOZA
WAHENGA KARIBUNI
PICHA KWA NIABA YA Mjusi ShembozaView attachment 2678892
Sent using Jamii Forums mobile app