JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

FB_IMG_1689531020076.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha hii ilipigwa mwaka 1985 kabla ya mwalimu kustafu urais
Kutoka kushoto HABIBU HALAHALA
PAUL SOZINGWA
MWALIMU NYERERE
HASHIM MBITA
BENJAMINI MKAPA
wote wametangulia mbele ya haki
FB_IMG_1689917056162.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasira za nini wee bwana?
Hasira za nini wee bwana?
Wataka kuniua bure baba,
Wataka kuniua bure baba,
Wewe una wako nyumbani,
Nami nina wangu nyumbani,
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe?

(Nasema)
Sina makosa wee bwana,
Sina makosa wee bwana,
Sina makosa wee bwana,
Sina makosa wee bwana.

-------
'Sina Makosa' Parts I and II - Prof. Omari Shabani and Orchestra Les Wanyika, POLP 432, 1980.
FB_IMG_1690501798246.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom