JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Sasa kitu cha kushangaza ni kwamba rnzi zile sheria zilikua haziwabani sana wawindaji( Hakukua na sheria kali za wanyamapori)

Baada ya kumaliza kushoot hii movie 1962

Director Howard Hawks alizawadiwa haka kandama ka Chui😄😄
 

Mtu mmoja wa karibu alinisimulia(kwa email) kwamba haka kamjamaa baada ya hii picha ya mwisho kalikua kameshachoka makelele ya huyu mbwa. Mbwa alikua anakabwekea sana😄😁. Anasema basi kalimpiga kofi moja matata huyo mbwa alikimbia hakupatikana kwao kwa siku 5🤣🤣
 
Dunia ilikuwa haijavaa bikini bado..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…