JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

So 2 June 1953 ndo ilikua Coronation ya Bibi Eliza


Hio hapo juu ni sherehe zilizofanyika UK

Ila pia kulikua na sherehe zilizofanyika katika nchi zote zilizokua chini ya Ufalme wa UK


Sherehe zilifanyika pale mbele ya Boma Arusha

Wananchi wakitoka kwenye Rehearsal ya Coronation Day. Hii ni May 1953
 

Maasi ya Jeshi(KAR) Jan 1964 iliyopelekea Mwalimu kuomba msaada kwa Bibi aje atusaidie kuzima. Manowari ya UK HMS Canteur ikiwa na 45th GROUP MARINE COMMANDOS ikafika pwani ya Dsm wakaruka na Helikopta mpaka Colito(Lugalo) wakawanyang'anya silaha wanajeshi waasi.

Hapo juu Askari muasi anasalimisha silaha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…