ππΎππΎππΎππΎππΎHivi vitu mkuu,hivi ni vitu adimu sana..tena saana.
Usisite mkuu pindi upatapo wasaa!Asante sana.[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Na sema nimechoka tu kuandika ndo maana kasi ikepungua na majukumu yanabana. Ila nna picha za historia nyingi sana
kwenye mtu pana mtuView attachment 1523203
Miaka kadhaa baadae..... Sijui mwaka gani??
andy chande uyu
haya kweli mabeberu 1953 ni kama walikuwa wameshamalizana na kila kitu kwenye masuala ya maendeleoSo 2 June 1953 ndo ilikua Coronation ya Bibi Eliza
View attachment 1521373
Hio hapo juu ni sherehe zilizofanyika UK
Ila pia kulikua na sherehe zilizofanyika katika nchi zote zilizokua chini ya Ufalme wa UK
View attachment 1521376
Sherehe zilifanyika pale mbele ya Boma Arusha
View attachment 1521379
Wananchi wakitoka kwenye Rehearsal ya Coronation Day. Hii ni May 1953
watu wamepambania nchi hii aiseeJK Alikua anang'aa kitamboView attachment 1521340
Hapo bado akiwa askari wa JW mafunzoni China
View attachment 1521341
hii familia nahisi inajua historia ya nchi hii kulikoWatu wengi wanaijua Karimjee Hall tu. Hawajui kwanini iliitwa hivyo.
View attachment 1519983
Karimjee Hall ya sasa
View attachment 1519987
Familia ya Yusufali Karimjee
--Yusufali Karimjee (1882β1966)
Alijulikana pia kama βLion of Zanzibarβ. Alikua boonge la mfanyabiashara.Alifanya biashara toka Bongo,Hanover(Germany) hadi Japan, na alioa mwanamke wa Kijapani. Kupitia kwa mwanae Abdulkarim walitoa zawadi ya huo ukumbi kwa Manispaa ya Dar es salaam mwaka 1955
--Abdalla Mohamedali Karimjee (1899β1978)
Mdogo wake na Yusufali ambaye alijulikana pia kama "Sisal baron of Tanga" na alishatunukiwa na malkia OBE (Officer of the British Empire) mwaka 1961. Mwaka 1924 alisafiri kwa pikipiki toka Bongo mpaka South Africa kwenda ku"negotiate" mkataba wa kusambaza mafuta na kampuni ya Caltex
Alikuja kuwa Mbunge baadae bunge la Tanganyika(Legislative Council) na pia alihudhuria kutawazwa kwa Queen Elizabeth II mwaka 1953.Princess Margaret alishawahi kuja kumtembelea kwake Tanga mwaka1956.Alioa pia mke wa pili Mjerumani
--Tayabali Karimjee (1897-1987)
Mdogo wa mwisho wa Yusufali. Huyu alizaliwa na kusoma Zanzibar na alikua rafiki wa karibu wa Sultan. Pia Sultan alimteua kuwa Mbunge(Legislative Council Zanzibar) ila alisusia Bunge na kutoka nje ya Bunge baada ya kupitishwa Clove Monopoly Bill ya 23 Julai 1937. Akiwa na msimamo kwamba hio sheria inawanufaisha zaidi Wazungu.
--Abdulkarim Karimjee(1906 β1977)
Mtoto wa Yusufali Karimjee, alikua Naibu Meya wa Dsm mwaka 1952 na 1956 na pia Meya wa Dar es Salaam mwaka1954 na 1957.Ila 1959 alichqguliwa kuwa Spika wa Bunge la Tanganyika kuelekea Uhuru(Tanganyika Legislative Council).Na baada ya Uhuru ndo akawa Spika wa kwanza wa Bunge la Tanganyika huru wakati huo vikao wanafanyia Karimjee Hall kabla Bunge halijahamishiwa Dodoma. Wakati huo wabunge walikua wanateuliwa tu na walikua 29 tu. Baadae wakaja wabunge wa kuchaguliwa kwa kura na wakaongezeka kufikia 81.
1961β70, amekua Makamu mkuu wa University College of Dar es Salaam, Mkurugenzi wa National Development Corporation (NDC) na National Bank of Commerce (NBC) pia ndio Muanzilishi wa Tanganyika National Library.
View attachment 1519989
Karimjee Hall, March 19610
Umesoma somo la History??[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Na sema nimechoka tu kuandika ndo maana kasi ikepungua na majukumu yanabana. Ila nna picha za historia nyingi sana
Sadiki na chitemo ni toleo jingine baada ya sadiki na sikiriSadiki na Chitemo
Umesoma somo la History??
Unajua vitu vingi hadi nakutamani[emoji3526][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeNilisoma Historia Primary School tu ila baada ya Hapo ni Ufundi(Mazengo na kina Ngwea) na Science kwenda mbele
Ni Hobby tu[emoji16][emoji16]
shikamoo
Thanks mkuu, nimeipenda sana hiiView attachment 1526957
Vladimir Putin akiwa Tanzania 1972 pamoja na Samora Machel na Emerson Mnanangwa(Rais wa Zimbabwe)
-Putin alikaa Morogoro Tanzania kwa miaka 4 (1973-1977)akiwafundisha wapigania uhuru wa kusini
Aiseee
Kweli ni hobby.
Nilitaka nianze kulisingizia somo bure[emoji1787][emoji1787]
Kumbe umesoma na Ngwea eeh!?!
Wadogo zangu nyie wa 1980's
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu, nimeipenda sana hii
Moi kwa hapo nyuma ..na kibakiHahahahaa sawa naona umepata pa kutokea
View attachment 1527245
Haya wenye macho mtanisaidia Odinga Senior? Kenyatta Snr & Jnr
Hahahahaa sawa naona umepata pa kutokea
View attachment 1527245
Haya wenye macho mtanisaidia Odinga Senior? Kenyatta Snr & Jnr[/QUOTE
Mwai kibaki,Jomo Kenyatta,Uhuru Kenyata na Daniel Arap Moi..picha ya nadra sana marais wote wa Kunyaland.