JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Sehemu ya barua aliyoandika Bwana John Pattisson Kwenda kwa Rais Ali Hassan Mwinyi kumuuuliza kama ndiye yeye Ali Hassan Mwinyi waliosoma pamoja Shule katika mji wa York, UK.

Barua ya pili ni majibu ya Rais Ali Hassan Mwinyi mwaka 1988 kumuhakikishia Bwana Patisson kuwa ndiye yeye waliyesoma naye shuleni York akiwa na miaka 19.
 
Nimecheka umeongea kinyume hapo ni miaka 10 baadae ndio unazaliwa[emoji23]
Weee thubutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi si mtoto wa 98

Mbona unanishusha hivyo Dr??

Mimi nimemuingiza Mkapa madarakani kwa kura yangu mwaka 95[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1526957
Vladimir Putin akiwa Tanzania 1972 pamoja na Samora Machel na Emerson Mnanangwa(Rais wa Zimbabwe)

-Putin alikaa Morogoro Tanzania kwa miaka 4 (1973-1977)akiwafundisha wapigania uhuru wa kusini
Dah huu Uzi bora ulianzishwa maana najiona jinsi nilivyo mweupe peee kwenye historia.

Angalau hapa nitatoka na cha kuwasimulia wanangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…