JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani


Aisee huyu jamaa alikua na kumbukumbu kwa mtoto wa kizungu miaka 7 kumkumbuka mtu namna hio

Halafu AH Mwinyi kwa uungwana kabisa akamjibu😁😁
 
Maisha nyie acheni tu alikua kafulia balaa hapo anavyoonekana

[emoji23]kabisa,maisha yana siri nzito sana mkuu,jana nilikuwa nasikiliza story anasimulia mtoto wa Mobutu anasema baba yake wakati alikuwa mdogo hakuwa na chochote kabisa hata aliposaidiwa maji ya kunywa tu alihisi ana deni kubwa mno kwa aliyemsaidia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…