JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Sehemu ya barua aliyoandika Bwana John Pattisson Kwenda kwa Rais Ali Hassan Mwinyi kumuuuliza kama ndiye yeye Ali Hassan Mwinyi waliosoma pamoja Shule katika mji wa York, UK.

Barua ya pili ni majibu ya Rais Ali Hassan Mwinyi mwaka 1988 kumuhakikishia Bwana Patisson kuwa ndiye yeye waliyesoma naye shuleni York akiwa na miaka 19.View attachment 1527298View attachment 1527300

Aisee huyu jamaa alikua na kumbukumbu kwa mtoto wa kizungu miaka 7 kumkumbuka mtu namna hio

Halafu AH Mwinyi kwa uungwana kabisa akamjibu😁😁
 
Maisha nyie acheni tu alikua kafulia balaa hapo anavyoonekana

[emoji23]kabisa,maisha yana siri nzito sana mkuu,jana nilikuwa nasikiliza story anasimulia mtoto wa Mobutu anasema baba yake wakati alikuwa mdogo hakuwa na chochote kabisa hata aliposaidiwa maji ya kunywa tu alihisi ana deni kubwa mno kwa aliyemsaidia,
 
Back
Top Bottom