JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

hii hotel ipo maeneo ya wapi iende nika italii maana utaliii wa ndani ndo huu hapa sasa .
 
Daaah! Nimekumbuka mbali sana kipindi nipo kid tunaishi chimara street karibu na hospital ya ocean road, sasaivi wamejenga ukumbi wa mikutano wa julius nyerere. Kila weekend tupo motel agip
 
hii hotel ipo maeneo ya wapi iende nika italii maana utaliii wa ndani ndo huu hapa sasa .
Hahahaaa ipo mjini kati pale

Ni pagale tu saivi zinasikitisha sana

Wazee wa zamani tunakumbuka. Nilishaiba taulo pale enzi zile taulo ni anasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…