JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

View attachment 1698697mzee alikuwa mwamba sanaaa
wakati yupo mikononi mwa marekani rais Bush alituma ma ofisa wa usalama kumuhoji saddam, haya ni baadhi ya Mahojiano
US:umeteswa ? una malalamiko yoyote ?
SAddam: nyie ni kina nani ? emu jitambulisheni kwanza
jamaa hata baada ya kupindulia lakini aliamini yeye ni Rais na ukienda Mbele yake hata kama umemtaka ila unapaswa kumnyenyekea
 
View attachment 1748164
Aliyekuwa IGP wa kwanza(Tz);
Wa pili kutoka kushoto.
RIP Mh. Shahid
Dah zamani sana aisee
Na kuna huyu P. Mgaya alianza kuwa ADC wa Mwalimu baadae RPC Dodoma na akawa IGP 1975 akitokea cheo cha SSP tu

Huyu ndo muanzilishi wa kampuni ya ulinzi SGA ina tenda za kusafirisha hela mabenki mengi sana. Kafariki mwaka jana nadhani. Kampuni ilipata makashfa mengi ya wafanyakazi kutoroka na mabilioni ya hewa wanazokabidhiwa wanapak gari wanakimbia na hela hadi JPM akaagiza hizo kazi zianze kufanywa na Polisi wenyewe. Na pia ikatengenezwa database ya wafanyakazi wa kampuni za ulinzi


Hapa ni huyo kulia akiwa na Mwandosya na Leonel Mawalla(alikua boss TPDC)
 


Wa kwanza kulia - Philemon Mgaya, IGP (1975-1980)
 
Asante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…