Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha kuna mtu alidokeza kwamba kuna kipindi marekani aliomba msaada wa jeshi la aridhin tz kama kuna yeyote ana kumbukumbu atusaidie
Hapana mkuu alikupeleka chaka. Hiyo ni Patch tu ya Special Forces wa Iraq ina mpangilio kama bendera ya Tanzania ila hapo ilichafuka kwa vumbi picha ikaonekana kama ni 🇹🇿🇹🇿Hii picha kuna mtu alidokeza kwamba kuna kipindi marekani aliomba msaada wa jeshi la aridhin tz kama kuna yeyote ana kumbukumbu atusaidie
HahahahaView attachment 1758737
Mtoto amekua
Kweli mzee baba alikuwa hana mpango kabisa wa kuachia ngazi.View attachment 1759033Marehem Deby na Marehem JPM 2016, Deby alikuja kutembea Tanzania
Idris Deby amefariki hapo Jana kwa majeraha aliyoyapata kutokana na mapambano na waasi wa FACT na Marehem JPM alifariki takriban mwez mmoja uliopita kutokana na matatizo ya moyo
Kwa hiyo Hawa walienda kukuzwa kimarekani. Yawezekana wakishakuwa wakubwa wanarudishwa Vietnam kutawala. Mamluki
Sijajua chief ila hii dunia ina mengi ya siri.Kwa hiyo Hawa walienda kukuzwa kimarekani. Yawezekana wakishakuwa wakubwa wanarudishwa Vietnam kutawala. Mamluki
Na hasa hizo nchi huwa zinapanga miaka 50 ijayo. Assimilation inaendelaSijajua chief ila hii dunia ina mengi ya siri.
Hapana mkuu walikua adopted na familia mbali mbali US, New Zealand na AustraliaKwa hiyo Hawa walienda kukuzwa kimarekani. Yawezekana wakishakuwa wakubwa wanarudishwa Vietnam kutawala. Mamluki
Uchu wa madaraka.A very stupid move
Thanks very much guy, it seems like you know a lot of things 🤛Hapana mkuu walikua adopted na familia mbali mbali US, New Zealand na Australia
Na saivi ni watu wazima kabisa. Huyu mtangazaji wa All Jazeera ni mmoja wa hao watoto na saivi ni mmama kabisa. Alishawahi kufanya documentary kuongelea maisha yake mpaka akarudi kutembelea Vietnam. Story nzuri sana ya kusisimua. Ni mmarekani saizi. Tafuta hiyo Documentary. Cath Turner about operation baby lift
View attachment 1759181
Hahahaha Hapana mkuu. Ila nnapenda kusoma sana na Pia nna hobby ya Picha(Za kutizama,kupiga zangu zinatiaga huruma😂😂) pia napenda sana Documentaries so najikuta mambo mengi ya historian,Uhandisi(Inahusiana kidogo na fani yangu),Siasa nk nakutana nayo kwenye Documentaries hizoThanks very much guy, it seems like you know a lot of things 🤛