JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani


Sikiliza Idi Amini; acha ushamba, hii ni sub-machine gun ni ya kisasa zaidi, iko full pamoja na silencer yake. Inabebeka hata kwenye briefcase. Angalia, ni made in Israel.
Ebu kwanza twende tukapate kinywaji pamoja na Waziri wetu wa Ulinzi - Baba Moshe Dayan.
 


Afrika Hapo Zamani:

Mahafali ya Chuo Kikuu cha Makerere kampala Uganda: Maandamano ya Heshima, Julai 1970: Marais: Julius Nyerere (Tanzania), Mzee Jomo Kenyatta (Kenya), Kenneth Kaunda (Zambia) na Milton Obote (Uganda) wakiwa katika maandamano. Aliyebeba rungu ni Gavana wa sasa wa Kisumu Profesa. Anyang Nyongo(baba wa Lupita Nyong'o @lupitanyongo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…