Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Ina maan marais wa Africa wengi wamesoma Makerere?View attachment 1764181
Afrika Hapo Zamani:
Mahafali ya Chuo Kikuu cha Makerere kampala Uganda: Maandamano ya Heshima, Julai 1970: Marais: Julius Nyerere (Tanzania), Mzee Jomo Kenyatta (Kenya), Kenneth Kaunda (Zambia) na Milton Obote (Uganda) wakiwa katika maandamano. Aliyebeba rungu ni Gavana wa sasa wa Kisumu Profesa. Anyang Nyongo(baba wa Lupita Nyong'o @lupitanyongo).
Ina maan marais wa Africa wengi wamesoma Makerere?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kongo nao washamba tu, ingekuwa bongo hapo tayari mataleli wangeshajikatia viwanja, yangekuwa makazi ya wahuni na wala unga na wacheza kamari.Hayo ndio Masalia ya eneo la Gbadolite huko Zaire (Congo DR ya sasa) aliyoyaacha Mobutu Sese Seko, Rais wa miaka hiyo.
Palikuwepo na International Airport, midege aina ya Concorde ilikuwa inatua hapo direct kutokea New York.
Sasa wanaishi popo na wanyama mwitu wengine.
View attachment 1798987View attachment 1798988
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala unga na wacheza kamari kamwe hawawezi kwenda kukaa porini Gbadolite takribani km 4,500 (by road) toka Kinshasa.Kongo nao washamba tu, ingekuwa bongo hapo tayari mataleli wangeshajikatia viwanja, yangekuwa makazi ya wahuni na wala unga na wacheza kamari.
hizo mawani nyeusi kumbe ume anza kuzi vaa kitambo mkuu [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mimi 1996 Durban South AfrikaView attachment 1804805