JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

apo diamond alizuiliwa na mabaunsa asipande jukwaani kuimba
ilikuwa tanga ,Q chief ndio alikua anatumbuiza akasikia purukushani nyuma ya stage,alivyofatilia aliamuru diamond apande on stage atumbuize
baada ya apo diamond akatambulika rasmi kisanii
God is great.. Kama Mungu akitaka kukupa binadamu hawezi kamwe kukuzuia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…