JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Tawekee na big Joe freizer mkuu
joe1.jpg
 
Kanali Abdullrahmani Kinana(Naibu Waziri wa Ulinzi na jkt) na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete Waziri wa Nishati na Madini. Siku ya Kuustaafu rasmi Utumishi Jeshini Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli(TMA) mwaka 1992
Kisha mtu from nowhere anasema hukuna aliefanya chochote zaidi yake!
 
Back
Top Bottom