Tawekee na big Joe freizer mkuu
Around 2011Masikini, alitangulia mapema mbele ya haki!
Big Joe.
Exactly!Around 2011
Alikua mzuri mno hata ingekua Mimi ningemuoa aisee!View attachment 1802372
Michelle Obama
Shikamoo broo!Mimi 1996 Durban South AfrikaView attachment 1804805
Nimewapata Omar mahita, Ernest mangu, said mwema.
Kisha mtu from nowhere anasema hukuna aliefanya chochote zaidi yake!Kanali Abdullrahmani Kinana(Naibu Waziri wa Ulinzi na jkt) na Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete Waziri wa Nishati na Madini. Siku ya Kuustaafu rasmi Utumishi Jeshini Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli(TMA) mwaka 1992
Aisee!Alikua mzuri mno hata ingekua Mimi ningemuoa aisee!
Garret morganAnaitwa nani?
Yeah!Zizi &Zanele.
RIP Kenneth Kaunda!
Mzee Kaunda na makobaziView attachment 1822666
Mwenye malapa ni Kawawa,hapo alivunja kabati,Mungu awarehemu hawa mashujaa wetu[emoji1431]