JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

E50C6AEF-F65E-49C7-833B-DF016DC1908D.jpeg

Huyu jamaa(Mr Duncan) alikua ni mtaalam wa kuchimba mabwawa miaka ya 1958-1962. Pia alikua ni fundi Bunduki mzuri(Gunsmith)

Alikua anakaa Mwanza na Arusha na kitu anachokikumbuka vizuri na kujivunia aliwatengenezea Mwanza Yatch Club kamzinga kadogo ambako walikua wanakatumia kupiga kwenye mashindano yao ya ngalawa(kama ile tarumbeta/ risasi kwenye riadha)
 
View attachment 1520832

[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Napata hisia za ajabu kwenye hizi picha..ni kama nilikuwepo huko miaka hiyo ya zamani[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Hahahaa ndo maana nikiweka najitahidi niweke na maelezo japo kwa kifupi kama nilivyosimuliwa. Stori nyingi nasimuliwa na watoto wa hawa watu wenyewe wengi walishatangulia mbele za haki
 
Back
Top Bottom