Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii movie ya John Wayne ilitoka 1962
Na iliingiza kiasi cha $13Milion mauzo
Inahusu wawindaji ambao wanakamata wanyama kwenda kuuza kwenye Zoo
View attachment 1520775View attachment 1520776View attachment 1520777
Hao waliocheza hiyo muvi hadi leo wapo embu cheki
Ooh no Jamani. Kifo hiki, Wangari MaathaiWengi washafariki
Director Hawks kafariki 1977
Staring Jih Wahyne kafariki 1979
Hardy Kluger yupo hai ana miaka 94 kastaafu
Yule mdada kafariki 2017
Red Buttons alifariki 2006
So sad jamaniOoh no Jamani. Kifo hiki, Wangari Maathai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavimba mwenyeweeeh
Chui ni hatari sana mkuu.View attachment 1520785
Mtu mmoja wa karibu alinisimulia(kwa email) kwamba haka kamjamaa baada ya hii picha ya mwisho kalikua kameshachoka makelele ya huyu mbwa. Mbwa alikua anakabwekea sana[emoji1][emoji16]. Anasema basi kalimpiga kofi moja matata huyo mbwa alikimbia hakupatikana kwao kwa siku 5[emoji1787][emoji1787]
Mkuu hii ilikuwa upande gani?View attachment 1520801
Kibanda cha mganga wa kienyeji karibu na Crater 1958
Haya mambo mmeanza siku nyingi Mshana Jr
Serengeti shall never die.....mazingira yako vile vile mpaka sasa.