JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

9209AF72-4F04-467F-AD4D-81EDDBD2AB60.jpeg
 
Hizo habari sio za kweli.
Kitwana Kondo hakuwa mpigania uhuru bali alikuwa upande wa mkoloni.

Kitwana Kondo KK
Alikuwa Special Branch(Kachero/Tiss)wa Serikali ya kikoloni kazi yake pamoja na mambo mengine ni kupeleka taarifa za kishushushu na harakati za Tanu kwa Bwana Gavana Sir Richard Tunbull pale Government House(Ikulu)

Baadae akaja kuwa Meya maarufu sana wa Jiji la Dar Es Salaam na kisha kuwa Mbunge wa Kigamboni.
Alikuwa rafiki sana na Rais Ali Hassan Mwinyi.
Alifariki mwaka juzi 2017 nyumbani kwake Upanga.

Changamsha genge za vijiweni😄😄

Nakumbuka nishawahi kumsoma kwenye makala za Sheikh Mohamed Said kwamba jamaa alikua akiingia Ikulu kwa Twining kumpelekea umbea
 
Back
Top Bottom