JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Michael Jackson na Donald Trump
images%20(6).jpg
 
[emoji1787]leo nimeamini kabisa Mkuu,yani miaka yote huwa namuona jamaa kama mwamba fulani mtata,yani kwa kifupi hapa Duniani hakuna Binadamu mtata kama yeye hata Hitrel hakuwa kauzu kama Saddam .alafu kumbe kwa wanawake Saddam alikuwa mtoto hivo
Mkuu ulikuwa unaamini tuu kitofauti ,SH alikuwa mtupu sana,alikuwa ni pandikizi tuu km wengine alitumika kuvuruga Aman ya Middle East na Levant
Alitumika kama tissue msalani,baadae watumiaji hao hao wakamnyonga.
 
Back
Top Bottom