Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #1,221
Si ndio huyu kafariki Jana?View attachment 1540955
Hassan Nassor Moyo (RIP) - Waziri wa zamani (Kilimo & Ugawaji wa Ardhi) akiwa na Mzee Karume - wakiwa ktk mchakato wa kugawa viwanja; April, 1966.