Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuyu umeanguka..apumzike kwa amaniView attachment 1708375
Siasa za Zanzibar hazitakua kama zilivyokua tena. RIP Jabali la Zenji
Namuona babu yangu hapo, Almarhum Mzee Thabit Kombo.
Alitumika vibaya na baada ya matumizi akalipwa....Alale kwa AmaniView attachment 1698697mzee alikuwa mwamba sanaaa
Asante mkuu,itakuwa ni muumini wake huyu jamaa.
Yeah sio muumini tu Bali maalim ni kati ya watu waliomsomesha(kuchangia elimu yake toka msingi mpaka chuo kikuu)Asante mkuu,itakuwa ni muumini wake huyu jamaa.
View attachment 1715560
Kazi kwa vitendo. Rais Kumbe na Waziri mkuu Kawawa...Jumbe mpaka jasho aisee
(Sijui mwaka,na sijui walikua katika shughuli gani.Bado natafiti)
Inawezekana aisee mkuu. Nilifikiria kitu kama hicho piaSio operation vijijini hii kweli