Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi zetu tunatega tega tu namna hiyoSiku hizi kuna magrili hii haipo tena[emoji23]
Marehemu mzee small ndo ilikuwa brand icon yake
Dah!Hivi vitu vilikuwa moto sana.
Chawa sasa mkuu!Walikuwa wasumbufu sana kichwani na nguoni.Hakukuwa na berber shops.. Nadhani ndio ule usemi wa mwenzio akinyolewa wewe tia maji ulitokea huku[emoji3]View attachment 2014102
Duh!Ganja man.
Mbona hadi leo vinapatikana! Vimebadilishwa rangi na kuwa ya khaki.Ninakumbuka 2009 nililazimika kuwa nacho pahala kwa usalama wangu.NDIO VITAMBULISHO TULIVYOTUMIA HAVIKUWA TABU KUVIPATA MIAKA YA 80 KUJA 90 UNAKUMBUKAView attachment 2013998