Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ndio nani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nani mkuu
Mwakalebela David alikua beki wa kulia wa wana Kawekamo, wana TP Lindanda, Pamba FC ya Mwanza. Kikosi chao kilikua kama ifuatavyo;Mwaka 1992. Taifa Stars dhidi ya Liberia. Beki asiyekuwa na masihara wakati huo akisalimiana na Nahodha wa Liberia, George Oppong WEAH. Namzungumzia David Mwakalebela "MP" wengine waliita Mwanza Patrol. Je unamkumbuka beki huyu wa nguvu enzi zake?.....hakuwa na mchezo hata kidogo!View attachment 2057805
Duh..uko vizuri[emoji1545][emoji1545][emoji1534]Mwakalebela David alikua beki wa kulia wa wana Kawekamo, wana TP Lindanda, Pamba FC ya Mwanza. Kikosi chao kilikua kama ifuatavyo;
Golikipa; Paul Rwechungura
Beki wa kulia(no 2): David Mwakalebela
Beki wa Kushoto (no.3): Abdallah Bori
Beki wa kati (no.4): George Magere Masatu
Beki wa kati(no. 5) James Washokera
Kiungo mkabaji(no.6): Nico Bambaga
Winga wa kulia(no. 7): Beya Simba
Kiungo Mshambuliaji(no. 8): Hussein Masha
Mshambuliaji wa Kati(no.9): Kitwana Sueleiman
Mshambuliaji Pembeni(no. 10): Ntenze John
Winga kushoto(no. 11): Fumo Felician Ferdinand
Hapo atangaze Dominic Chilambo.Mwakalebela David alikua beki wa kulia wa wana Kawekamo, wana TP Lindanda, Pamba FC ya Mwanza. Kikosi chao kilikua kama ifuatavyo;
Golikipa; Paul Rwechungura
Beki wa kulia(no 2): David Mwakalebela
Beki wa Kushoto (no.3): Abdallah Bori
Beki wa kati (no.4): George Magere Masatu
Beki wa kati(no. 5) James Washokera
Kiungo mkabaji(no.6): Nico Bambaga
Winga wa kulia(no. 7): Beya Simba
Kiungo Mshambuliaji(no. 8): Hussein Masha
Mshambuliaji wa Kati(no.9): Kitwana Sueleiman
Mshambuliaji Pembeni(no. 10): Ntenze John
Winga kushoto(no. 11): Fumo Felician Ferdinand
Kweli kabisa mkuu. Chilambo Dominic Pamba ilikua kama timu yake. Hapo kwenye list George Gole, Deo Mkuki, Mao Mkami(ball dancer), Juma Amir Maftah na wengine kibao wapo bench wanasubiriHapo atangaze Dominic Chilambo.
Mpira ulikuwa burudani,siyo watangazaji wa Sasa.