JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

IMG-20230413-WA0237.jpg
 
Leo mnamo Aprili 8, 1946, Shirika la ndege Ethiopian Air Lines ilifanya safari yake ya kwanza kwenda #Cairo kupitia #Asmara katika ndege yake aina ta #Douglas C-47 #Skytrain.

Shirika la Ndege lilipitia heka heka za sekta ya anga na changamoto za kipekee kwa Afrika hafi kuwa shirika kubwa zaidi la Usafiri wa Anga barani Afrika, lenye faida na lililoshinda tuzo kadhaa.

Hivi sasa Shirika hilo lina;
Ndege - 131
Vituo/Destinations - 147
Njia/Routes - 234
Miruko kila siku - 416
Makao Makuu - Addis Ababa
FB_IMG_1681447307411.jpg
 
Back
Top Bottom