MARCO MATERAZZI AELEZA SABABU YA ZIDANE KUMPIGA KICHWA
Marco Materazzi amefichua alichomwambia Zinedine Zidane kwenye tukio la kihistoria katika Kombe la Dunia la 2006 nchini Ujerumani
Katika dakika 10 za mwisho za mashindano katika mechi ya fainali kati ya Ufaransa na Italia kwenye muda wa ziada na matokeo yakiwa 1-1, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa wakati wote, Zinedine Zidane, alioneshwa kadi nyekundu baada ya kumpiga Marco Materazzi kichwa
kwenye mahojiano na IFTV, ya Italia Materazzi amefichua kile alichosema kwa Zidane.
"Zidane aliniambia Atanipa jezi yake baada ya mechi Nikasema 'hapana, napendelea dada yako'."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.