JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Young Africans waliosimama kutoka kushoto Ramesh patwa,tarzan,sahau kambi,issa athumani,keneth mkapa,yussuf ismael,lawrence mwalusako,Godwin aswile,denis mdoe,said mwamba, Joel bendera wa mwisho sikumbuki.waliopiga magoti kutoka kushoto fred minziro,Justin mtekere,abubakar salum ,athuman juma chama,abdallah burhan,selestine sikinde mbuga,athumani china na Joseph fungo.View attachment 2652158

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wa zamani walikuwa age imesogea sogea kidogo tofauti na sasa , kwa sura nazoziona apo kwa sasa wengi wangeitwa ma father na may b wengi wao wasingekuwa wanacheza mpira wa ushindani.
 
Muhammad Ali huko Misri, kwenye mto Nile, Juni 1964. Muhammad Ali alianza ziara yake ya kwanza barani Afrika mwaka 1964 akisema: "Nataka kuiona Afrika na kukutana na kaka na dada zangu." Ziara yake ilianzia Ghana, nchi ya kwanza katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kujinyakulia uhuru kutoka kwa mamlaka ya Ulaya.


FB_IMG_1686533460055.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo miaka 18 tangu mwanamuziki ATHMANI MOMBA ATUTOKE DUNIANI
MAREHEMU MOMBA ALIFARIKI TAREHE 13-6-2005
Na kuzikwa kijiji cha kauzeni wilaya kisarawe tarehe 14-6-2005
Marehemu momba alipigia bendi mbalimbali hapa tanzania
Mwenye mungu ampumzishe salama
FB_IMG_1686624264335.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐈𝐑𝐓𝐇 𝐀𝐍𝐃 𝐅𝐀𝐋𝐋 𝐎𝐅 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍 𝐅𝐈𝐄𝐒𝐓𝐀.

On Saturday of March 1963, the band (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮𝗻 𝗝𝗮𝘇𝘇) had humiliated 𝐊𝐚𝐛𝐚𝐬𝐞𝐥𝐞 by ignoring his wedding and flying off to Brussels. No way they could use the group's name and label because Kabasele owned it all.

Dr. Nico then composed a hit 𝑩𝒊𝒍𝒐𝒎𝒃𝒆 𝒚𝒂 𝑨𝒇𝒓𝒊𝒄𝒂 ( Champions of Africa) and they naively used the name of African Jazz in the lyrics as if Kabasele would accept his overthrow without a fight[emoji23]. But guess what! When Kabasele heard that, he took them to Court and this was the labour pains that gave birth to 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮𝗻 𝗙𝗶𝗲𝘀𝘁𝗮 being led by three elombes; 𝐓𝐚𝐛𝐮 𝐋𝐞𝐲, 𝐃𝐫. 𝐍𝐢𝐜𝐨 and 𝐑𝐨𝐠𝐞𝐫 𝐈𝐳𝐞𝐢𝐝𝐢. Izeidi established the Vita Label to issue African Fiesta's new recordings.

At this time the band had the following assigned members;
𝐑𝐨𝐜𝐡𝐞𝐫𝐞𝐚𝐮 who was the President and a singer, 𝐃𝐫. 𝐍𝐢𝐜𝐨 was 𝑪𝒉𝒆𝒇 𝒅'𝑶𝒄𝒉𝒆𝒔𝒕𝒓𝒆 and A Rhythm guitarist, 𝐑𝐨𝐠𝐞𝐫 𝐈𝐳𝐞𝐢𝐝𝐢 was Maracas player and the Administrator of the band, 𝐖𝐢𝐥𝐥𝐲 𝐊𝐮𝐧𝐭𝐢𝐦𝐚 and 𝐉𝐞𝐞𝐟 𝐌𝐢𝐧𝐠𝐢𝐞𝐝𝐢 On trumpet, 𝐃𝐞𝐩𝐮𝐢𝐬𝐬𝐚𝐧𝐭 Who was a singer. 𝐃𝐞𝐜𝐡𝐚𝐮𝐝 (Nico's brother) a guitarist) The band did well during the season. In record shops and night clubs African Fiesta was winning where it counted.

Songs from the Brussels sessions trickled out very few weeks and new ones extolling the African Fiesta name were recorded in Léo and during a second trip to Brussels in 1964. Iziedi, Nico and Rochereau arrived at an arrangement for sharing responsibility that seemed, for the moment at least, to restrain the restless impulses of egotism and paranoia.

In that 1964, Rochereau composed a song N'daya where Nico played Rhythm Dechaud (Nico's brother) played solo. The two brothers formed the music's ultimate guitar duo.

Later that year bassist 𝐉𝐨𝐬𝐞𝐩𝐡 𝐌𝐰𝐞𝐧𝐚 joined from Ngoma, Roger Izeidi's younger brother 𝐅𝐚𝐮𝐠𝐮𝐬 playing maracas singer 𝐏𝐚𝐮𝐥 𝐌𝐢𝐳𝐞𝐥𝐞 and a younger woman singer named 𝐏𝐡𝐨𝐭𝐚𝐬 𝐌𝐲𝐨𝐬𝐨𝐭𝐢𝐬 also joined the band.

One other element distinguished African Fiesta from its closet rivals. Where O.K Jazz and Orchestre Bantou championed the saxophone, African Fiesta countered with the trumpet of 𝐃𝐨𝐦𝐢𝐧𝐢𝐪𝐮𝐞 '𝐖𝐢𝐥𝐥𝐲' 𝐊𝐮𝐧𝐭𝐢𝐦𝐚. This guy would attack his trumpet with an incredible ferocity sweating.
At the beginning of 1965, African Fiesta enticed the singer 𝐊𝐰𝐚𝐦𝐲 𝐌𝐮𝐧𝐬𝐢 away from 𝗢.𝗞. 𝗝𝗮𝘇𝘇. Later in the year Franco discovered that 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮𝗻 𝗙𝗶𝗲𝘀𝘁𝗮 had contacted 𝐆𝐞𝐨𝐫𝐠𝐞𝐬 𝐊𝐢𝐚𝐦𝐮𝐚𝐧𝐠𝐚𝐧𝐚, the saxophonist well known as 𝐕𝐞𝐫𝐜𝐤𝐲𝐬, about playing for them. Fed up with such tampering, Franco placed an open letter in a newspaper. He accused African Fiesta of going beyond a mere search for musicians and instead trying to subotage O.K. Jazz. "𝑾𝒆 𝒉𝒆𝒓𝒆𝒃𝒚 𝒊𝒏𝒇𝒐𝒓𝒎 𝒚𝒐𝒖 𝒕𝒉𝒂𝒕 𝒔𝒕𝒂𝒓𝒕𝒊𝒏𝒈 𝒕𝒐𝒎𝒐𝒓𝒓𝒐𝒘 𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒆 3𝒓𝒅 𝒐𝒇 𝒕𝒉𝒆 𝒑𝒓𝒆𝒔𝒆𝒏𝒕 𝒎𝒐𝒏𝒕𝒉 [𝑱𝒖𝒍𝒚 3, 1965]," Franco wrote sarcastically, " 𝒂𝒍𝒍 𝒕𝒉𝒆 𝒎𝒖𝒔𝒊𝒄𝒊𝒂𝒏𝒔 𝒐𝒇 𝑶.𝑲 𝑱𝒂𝒛𝒛, 𝒃𝒆𝒈𝒈𝒊𝒏𝒊𝒏𝒈 𝒘𝒊𝒕𝒉 𝑭𝒓𝒂𝒏𝒄𝒐 𝒂𝒏𝒅 𝑽𝒊𝒄𝒌𝒚 𝒂𝒓𝒆 𝒂𝒕 𝒚𝒐𝒖𝒓 𝒃𝒂𝒏𝒅𝒔 𝒅𝒊𝒔𝒑𝒐𝒔𝒂𝒍."

Indeed Franco's word made Verckys to stay in O.K. Jazz, but the matter didn't rest there. One of Kwamy's first composition for African Fiesta was a satirical piece entitled '𝙁𝙖𝙪𝙭 𝙈𝙞𝙡𝙡𝙞𝙤𝙣𝙣𝙖𝙞𝙧𝙚' (False Millionare). At first listen it sounds like a straight-forward commentary on the predicamentof those who, for the sake of status live beyond their means. "𝑴𝒂𝒕𝒐𝒏𝒅𝒐, 𝒍𝒆𝒏𝒅 𝒎𝒆 𝒎𝒐𝒏𝒆𝒚' Kwamy sings with Nico'a laconic guitar chimimg in behind him. In this ong Kwamy was accusing O.K. Jazz specifically Franco of withholding his money, and thus the titles 'Faux Millionnaire.'
And guess what, Franco replied with a song 𝘾𝙝𝙞𝙘𝙤𝙩𝙩𝙚

In October 1965, Roger Izeidi had gone to USA to investigate business opportunities for himself and African Fiesta. When he came back, Izeidi ran smack into deflating barrage of charges from his partner Docteur Nico. The main one among them was Nico's assertion that Izeidi illegally pressed records on an anonymous label ASL (Associated Sound Limited, an actual Kenyan Company), that were then sold in other countries. As Chef d'Orchestre of African Fiesta, Nico took it upon himself to fire Izeidi. He also hinted the Tabu Ley was involved too and he will deal with him soon. The three leader had equal shares (⅓) in the sales and agreement. And since Nico was only one third of the three member management team he was out-voted.

𝐓𝐨 𝐁𝐞 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐢𝐧𝐮𝐞𝐝.....

By Brian Adira
FB_IMG_1686648353891.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndoa ilifungwa tarehe 17-4-1964 kati ya DKT SALIM AHMED SALIM na marehemu BI AMNE ALLY RIFAI SALIM
wakati huo salim alikuwa mhariri wa gazeti la kila siku la zanzibar na katibu wa jumuiya ya wandishi wa habari zanzibar na bi Amne akifanya kazi kama katibu katika shirika la habari la zanzibarView attachment 2650921

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haijafunguka kwangu
 
Hapo anaonekana winga teleza EDIBILY JONAS LUNYAMILA AKISHANGILIA BAO huku kipa MOHAMEDI MWAMEJA akishangaa
Mechi ilifanyika uwanja wa taifa au uhuru tarehe 27-3-1993
Yanga ilishinda 2-1
Magoli ya yanga yalifungwa na MAREHEMU SAIDI MWAMBA KIZOTA
NA GOLI LA SIMBA LIMEFUNGWA NA EDWARD CHUMILA
View attachment 2651937

Sent using Jamii Forums mobile app
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🤣🙏
 
NYUMBANI KEMET

IMHOTEP mtu wa kwanza kuanzisha elimu DUNIANI, muafrika ambaye kwetu sisi ndiye MUNGU/BABA WA DAWA, HESABU, UHANDISI, UNAJIMU nk.

MUNGU hutamuona, Ila viumbe(jua, sayari, wanadamu, mimea) ndio miungu inayounda U MUNGU. IMHOTEP ndiye, alianzisha elimu duniani, yeye ndiye alielezea mfumo wa jua na sayari upo vipi? Lakini alijenga piramid ya kiufundi zaidi kuliko zote inayoitwa DJOSER PIRAMID, DJOSER ni jina la Farao aliyetawala miaka hiyo ya 2700-3000 BCE., wagiriki walikua wanaomba kiuja kusoma Afrika miaka 2400 baada ya kifo Cha IMHOTEP, baba wa dawa wa wagiriki aliyeitwa HYPOCRATES alisoma machapisho ya IMHOTEP, ndipo wagiriki wakamuabudu Kama Mungu wa dawa kwa jina Lao la ASCLEPIUS!
na ile alama ya nyoka unayoiona mashirika ya afya, inawakilisha GOD ASCLEPIUS

Lakini kwa waafrika huyu ndiye

MUNGU WA DAWA

MUNGU WA UHANDISI (ARCHTECT)

MUNGU WA HESABU

MINGU WA UNAJIMU(Astronomer)

KUMBUKA
kabla ya huyu mtu dunia haikuwa na mwanasayansi, Wala mtabibu(Daktari) Wala mhandisi, Wala mwalimu wa hesabu! Yani Mungu alikuja kwa mfumo wake kuleta elimu duniani, lakini kwa kupitia bara la Afrika.

Endelea kusoma mautumbo ya wakoloni uendelee kudharaulika!

Kila mzungu au mchina anamtambua huyu Babu yetu Kama THE FIRST WORLD'S MULTIGENIUS

FB_IMG_1686710380505.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anaitwa LETTA MBULU, yeye ndiye alieingiza yale maneno ya kiswahili "NAKUPENDA PIA NAKUTAKA PIA, MPENZI WEE" katika wimbo wa MICHAEL JACKSON uitwao LIBERIAN GIRL wa mwaka 1987 , kutoka kwenye album yake iliyoitwa BAD . LETTA MBULU na mume wake aitwae CAIPHUS SEMENYA ambao pia wote ni wanamuziki, walikuwa ni raia wa Afrika ya kusini waliokuwa wakiishi kama wakimbizi nchini Marekani wakati huo.
LETTA MBULU na CAIPHUS SEMENYA bado wapo na wanaishi jijini JOHANNESBURG nchi Afrika Kusini [emoji1221].

FB_IMG_1686807572371.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii picha ya kumbukumbu 1992 wakati timu yetu ya taifa star ikiwania nafasi ya kwenda Afrcon
Hapa ni CCM KIRUMBA
Kutoka kushoto JONAS LUNYAMILA
Marehemu SAIDI MWAMBA KIZOTA
kocha mzee Heri naye ametangulia mbele ya haki
Wa mwisho kocha PAUL GWIVAHA NAYE AMETANGULIA MBELE YA HAKI
FB_IMG_1686813754236.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom