FIAT 682 N3, sifa za hili gari ni kwamba lina nguvu sana na ni imara sana. Lakini likiwa limesheheni mzigo hata kufikia speed 70 ni kazi ngumu labda kiwe kipisi na kama ndiyo unatoka Dar kwenda Iringa na ile milima kama ule wa pale mikumi na Kitonga basi jasho litakutoka kwa sababu, ukimaliza kupanda mlima na ukianza tu kushuka, gari kabla halijachanganya tayari mbele kuna mlima mwingine, inabidi upangue tena gea zako karibu zote, basi ilikuwa ni kazi kweli kweli .
FIAT 682 N3, sifa za hili gari ni kwamba lina nguvu sana na ni imara sana. Lakini likiwa limesheheni mzigo hata kufikia speed 70 ni kazi ngumu labda kiwe kipisi na kama ndiyo unatoka Dar kwenda Iringa na ile milima kama ule wa pale mikumi na Kitonga basi jasho litakutoka kwa sababu, ukimaliza kupanda mlima na ukianza tu kushuka, gari kabla halijachanganya tayari mbele kuna mlima mwingine, inabidi upangue tena gea zako karibu zote, basi ilikuwa ni kazi kweli kweli . View attachment 2895597
Hakuna namna Muhenga,acha tuendelee kukumbuka Dunia ya zamani na burudani zake,unawakumbuka waigizaji hawa kwa Majina yao katika ISIDINGO THE NEED...!!!?🥲
SAVAGE HARVEST jina la filam na mwaka 1981ndiyo mwaka iliyotoka.Ndugu zangu wahenga hii filam imetengenezwa kwa mnasaba wa matukio ya kweli yaliowahi kutokea miaka flani ktk bara la AFRICA hususani ktk TAIFA la NAMIBIA.Hiko hivii ,familia ya bwana Casey (mke pamoja na watoto wao)wanamuomba hawapeleke ktk nchi za africa kwa ajili ya kwenda kufanya utalii .Sasa kutokana na hali mbaya ya ukame iliyozikumba baadhi ya nchi ktk bara la africa haswa iliyosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi ktk kipindi hicho,bwana Casey anawakatalia ombi lao.Hata hivyo bwana Casey baada ya kulazimishwa sana na hiyo famila yake (kama vile mnavyofahamu tena wahenga Mzungu akitaka lake)mzee baba anaamua kuchukua uamuzi wa kuwapeleka hivyo hivyo (hii unaweza kuiita mtoto akililia wembe)ili wakajionee wenyewe......Kipindi hicho ktk baadhi ya miji iliyopo ktk nchi ya namibia iliathirika vibaya mno kutokana na ukame uliosababishwa na uhaba wa mvua.Wanavijiji waliokuwa wakiishi karibu na mbuga za wanyama wanalazimika kuyakimbia maeneo yao kutokana na kushambuliwa mara kwa mara na wanyama wakali.........TOM SCERRITT aliyecheza kama CASEY ndiye staring ktk hii movie.wahenga kwa wale wapenzi wakuangalia vipindi vya wanyama kwenye chanel za tv(WILD LIFE) wataenjoy sana kutokana na radha ya kimaudhui iliyomo ktk hii movie.pia inatisha na inahuzunisha sana ikumbukwe kuwa hii ni kutoka ktk(TRUE STORY)
Enzi za 70's picha yake ilikuwepo kwenye pub ya Mansons pale DAR kwenye kona ya mtaa uliokuwa na Cozy Cafe, Mermaid Chips, na duka kubwa la music jina limenitoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.