Jf sio kisiwa

Pole kuna apps aina mbili, labda wewe waendelea tumia ile ya zamani...

[emoji4] Ua hata likizeeka halipotezi uturi wake...
Ile mpya aliyotoa Max maelezo yaliingia huku na kutokea kule

Au ndio ile ng'ombe hazeeki maini tunazeeka na uzee wetu
 
Ile mpya aliyotoa Max maelezo yaliingia huku na kutokea kule

Au ndio ile ng'ombe hazeeki maini tunazeeka na uzee wetu

Yes ndio hiyo alielezea Max, hebu mwambie Ndugai afanye kukusaidia 🤭

Yes, sasa tunaongea lugha moja...
 

Je wanaokutana shuleni?au njiani au kanisani wao wanafatiliana vipi?imagine mko dar mmekutana huko kila mtu ana asili yake na wazazi wapo huko utamfatilia muda gani?

Mimi naamini poppte unapata mchumba sahihi kwakua hamuanzi na ndoa ila mnaanza na urafiki kwanza

Hapo ndipo mtapojuana na kuijua familia yake kwa kiasi fulani

Mwisho wa siku iko hivi MKE ANAKUJA NA MAADILO NA HESHIMA,AKILI NA NAMNA YA KUENDESHA MAISHA ATAZIKUTA KWA MUME ko tafuta kitu kinakufaa vingine vitajisumbukia
 
Yes ndio hiyo alielezea Max, hebu mwambie Ndugai afanye kukusaidia [emoji2960]

Yes, sasa tunaongea lugha moja...
Haahah shida ya Ndugai nitamwambia anielekeze atakubali tukiwa kwenye kuelekezana atahamia kwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uko ulikotaja angalau unabahatika kuiona sura yake, tembea yake.

Kama anakilema chongo, kibiyongo ,kipara n.k vyote unaona na kutathminin kabla.

Sasa humu watu wanatongozana, wanaingia kwenye mahusiano, wanakoseana mpk kusameheana afu hawajawai kuonana hata sura.

Matokeo yake ndo zile nyuz tunasoma watu wamekimbiana stendi na airport siku kuonana.

Can u imagine inaumiza Kias gan unakutana na mtu tofaut na matarajio yako?

Can u imagine inaumiza Kia's gani unakimbiwa stend au airport, unampigia mwenyeji wako unakuta keshakublock[emoji848]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umetusemea mkuu,maana wanatutukana sana hasa tunaotafuta wake.Na wale wanaotafuta waume.
 
pole mkuu,we tembea kifua mbele,usisikilize ya watu,mitandaoni unawezakupata true love,mimi nilipataga muhindi mmoja huko telegram alinipenda kuliko wanawake wote niliowahi kuonana nao, alikuwa anaishi kenya hapo bahati mbaya alijiua
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huo mstari wa 3 huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…