Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Kubali kwanza ndiyo nikuambie...Inategemea sasa utaniambia nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali kwanza ndiyo nikuambie...Inategemea sasa utaniambia nini
Ile mpya aliyotoa Max maelezo yaliingia huku na kutokea kulePole kuna apps aina mbili, labda wewe waendelea tumia ile ya zamani...
[emoji4] Ua hata likizeeka halipotezi uturi wake...
Mh nikubali tu sijui ninachoambiwa hapana bwanaKubali kwanza ndiyo nikuambie...
Ni jambo unalilijua na hua unalifurahia...Mh nikubali tu sijui ninachoambiwa hapana bwana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni jambo unalilijua na hua unalifurahia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye Ndugai kaitisha kikao na wanahabari...[emoji4][emoji4][emoji4]
Ile mpya aliyotoa Max maelezo yaliingia huku na kutokea kule
Au ndio ile ng'ombe hazeeki maini tunazeeka na uzee wetu
Hili tatizo linasumbua vijana Sana, itabidi lianzishwe somo kabisa humuUdomo zege tu. Wakati siku hizi huhitaji kutongoza. Ukiomba namba unapewa, shughuli imeisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una nini lakini we mzee
Tatizo la jf ni kwamba wengi Humu wanatumia fake ids na pictures.
Humu Uwezekano wa kukutana na strangers Ni mkubwa Sana.
Kwaiyo,
Bado haiondoi ukweli kua Ni sehemu ya watu waliodesparate Sana na mahusiano.
Mtu normal na unaejithamini na kujiamini,
Kamwe huwez tafuta mtu wa kuishi nae maishani na kushare nae Siri zako na madhaifu yako kwa Njia ya kubahatisha bahatisha Kama vile unabeti gizani,
Zaman hata kabla hujatongoza tulikua mtu anafatilia Hadi familia ya mtu alikozaliwa, ukoo wake, wazazi wake, magonjwa yao n.k
Ukishajiridhisha ndo unakaenda kumwambia binti,
"Ebana eeh mi nmekupenda, nataka uje uwe mke wangu"[emoji4]
Can you imagine,
Huo MDA wa kuchunguza hayo kabla kwa mtu wa JF unautoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahah shida ya Ndugai nitamwambia anielekeze atakubali tukiwa kwenye kuelekezana atahamia kwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yes ndio hiyo alielezea Max, hebu mwambie Ndugai afanye kukusaidia [emoji2960]
Yes, sasa tunaongea lugha moja...
[emoji28][emoji28][emoji28]pole mkuu,we tembea kifua mbele,usisikilize ya watu,mitandaoni unawezakupata true love,mimi nilipataga muhindi mmoja huko telegram alinipenda kuliko wanawake wote niliowahi kuonana nao, alikuwa anaishi kenya hapo bahati mbaya alijiua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huo mstari wa 3 huoUko ulikotaja angalau unabahatika kuiona sura yake, tembea yake.
Kama anakilema chongo, kibiyongo ,kipara n.k vyote unaona na kutathminin kabla.
Sasa humu watu wanatongozana, wanaingia kwenye mahusiano, wanakoseana mpk kusameheana afu hawajawai kuonana hata sura.
Matokeo yake ndo zile nyuz tunasoma watu wamekimbiana stendi na airport siku kuonana.
Can u imagine inaumiza Kias gan unakutana na mtu tofaut na matarajio yako?
Sent using Jamii Forums mobile app