Jf sio kisiwa

Jf sio kisiwa

Tatizo la jf ni kwamba wengi Humu wanatumia fake ids na pictures.

Humu Uwezekano wa kukutana na strangers Ni mkubwa Sana.

Kwaiyo,
Bado haiondoi ukweli kua Ni sehemu ya watu waliodesparate Sana na mahusiano.

Mtu normal na unaejithamini na kujiamini,

Kamwe huwez tafuta mtu wa kuishi nae maishani na kushare nae Siri zako na madhaifu yako kwa Njia ya kubahatisha bahatisha Kama vile unabeti gizani,

Zaman hata kabla hujatongoza tulikua mtu anafatilia Hadi familia ya mtu alikozaliwa, ukoo wake, wazazi wake, magonjwa yao n.k

Ukishajiridhisha ndo unakaenda kumwambia binti,
"Ebana eeh mi nmekupenda, nataka uje uwe mke wangu"[emoji4]

Can you imagine,
Huo MDA wa kuchunguza hayo kabla kwa mtu wa JF unautoa wapi?



Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi ukitaka kujua wife material ongea na madereva wa bodaboda wa kijiwe cha karibia na kwao. Baaas
 
Habari wapendwa wana jamvi LA jf!
Kuna watu wanashangaa sana kuona MTU anatafuta mwenza jf!
Sijaju ni kwanini wanabeza kuwa mwenza wa jf ni mwenza kama wenza wengine tu unaoweza kukutananao kanisani, kisimani,sokoni nk.
Hivyo basi napenda kuwahusia wale wanaotukandia sisi tuliojipatia wenza hapa kuwa wanachama wa jf ndio haohao tunaokutananao mtaa tofauti ni kwamba hapa tunapata nafasi ya connection kwani ni vigumu kujua MTU anayetafuta mwenza kwa kumtazama tu huko njiani, kanisani, kisimani nk
So jf hutusogeza karibu na watu tofauti wenye mahitaji tofauti
Umejua kutuinua
 
Hizo kwa watu wa app kupata ni changamoto

Hahahha na maua sie zamu zetu zimeshapita tumeshajizeekea tumewaachia vijana matoleo mapya

Pole kuna apps aina mbili, labda wewe waendelea tumia ile ya zamani...

😊 Ua hata likizeeka halipotezi uturi wake...
 
Back
Top Bottom