Sijui kwa nini hackers huwa hawafanyi hivyo lakini naamini hivyo vikundi systema zao zipi very securedNingekuwa hacker ningeanza kudona hela ya ISIS, ALQAEDA, ALSHABAB, BOKO HARAM, TALIBAN... NK.Yaani Mungu angenipa hiyo percentage ya ubongo ya kuwa IT genius, basi wangenichukia hivyo vikundi, alafu sasa wasingejuwa ni nani. Hela nachukua natuma kwa wasiojiweza na mm mwenyewe. Wangeacha u terrorism kabisa, ingewagarimu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kama China mpaka end of this year 75% ya kazi zao kwenye makampuni makubwa itakua inafanywa na artificial intelligency, hii kitu ni threat kwa ulimwengu wa ajira, kuna article moja nilikua nasoma wanasema kwa sasa investment kubwa inafanyika kwente artificial intelligency all over the world, that means in future dunia itakua inaendeshwa na AIHapa ni mwendo wa kusomea IT/ICT sasa, kuna miaka ijayo naona vijana wakikosa ajira kwenye makampuni makubwa!