Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Sijui kwa nini hackers huwa hawafanyi hivyo lakini naamini hivyo vikundi systema zao zipi very securedNingekuwa hacker ningeanza kudona hela ya ISIS, ALQAEDA, ALSHABAB, BOKO HARAM, TALIBAN... NK.Yaani Mungu angenipa hiyo percentage ya ubongo ya kuwa IT genius, basi wangenichukia hivyo vikundi, alafu sasa wasingejuwa ni nani. Hela nachukua natuma kwa wasiojiweza na mm mwenyewe. Wangeacha u terrorism kabisa, ingewagarimu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣