JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Ningekuwa hacker ningeanza kudona hela ya ISIS, ALQAEDA, ALSHABAB, BOKO HARAM, TALIBAN... NK.Yaani Mungu angenipa hiyo percentage ya ubongo ya kuwa IT genius, basi wangenichukia hivyo vikundi, alafu sasa wasingejuwa ni nani. Hela nachukua natuma kwa wasiojiweza na mm mwenyewe. Wangeacha u terrorism kabisa, ingewagarimu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sijui kwa nini hackers huwa hawafanyi hivyo lakini naamini hivyo vikundi systema zao zipi very secured
 
Hapa ni mwendo wa kusomea IT/ICT sasa, kuna miaka ijayo naona vijana wakikosa ajira kwenye makampuni makubwa!
Kama China mpaka end of this year 75% ya kazi zao kwenye makampuni makubwa itakua inafanywa na artificial intelligency, hii kitu ni threat kwa ulimwengu wa ajira, kuna article moja nilikua nasoma wanasema kwa sasa investment kubwa inafanyika kwente artificial intelligency all over the world, that means in future dunia itakua inaendeshwa na AI
 
One study even found that birth order can influence your choices of friends and romantic partners. First-borns tend to associate with other first-borns, middle-borns with other middle-borns, and last-borns with last-borns.
 
What changes as you go through life are your roles and the issues that matter most to you. People may think their personality has changed as they age, but it is their habits that change, their vigor and health, their responsibilities and circumstances—not their basic personality
 
In Burkina Faso, brides showcase their cooking skills to the groom's family during their weeding period...huu utamaduni wafaa kuigwa maana kwa sasa bongo kuna kizazi cha akina paula walahi hata vyombo sijui kama wanajua kuosha
 
Back
Top Bottom