JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Umeniliz! Nikikumbuka wenzangu tuliokuwa nao JKT, na sasa tumetengana inaniuma sana! Nikikumbuka tulivyoishi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Huwa hivyo maisha mkuu, hata mie nina wanangu kibao nime ball' sana nao kitaa but sahi kila mtu ako kona yake tofauti ndani ya nchi, mishe. Lakini waswahili husema, milima ndio haikutani, lakini binadamu, ipo siku. 😎
 
Huwa hivyo maisha mkuu, hata mie nina wanangu kibao nime ball' sana nao kitaa but sahi kila mtu ako kona yake tofauti ndani ya nchi, mishe. Lakini waswahili husema, milima ndio haikutani, lakini binadamu, ipo siku. [emoji41]
Huwa nalia sana kaka![emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom