JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

So after 32,mshakua 'konki master' hamtaki tabua 'shangwe na nderemo'? 😂 😂 😂
Normaly hata katika ukuaji, watoto wa kike wanakua haraka kimwili na kiakili, ndio maana unakuta mtoto wa kike wa miaka 15 ana uwezo wa kumanage nyumba kama mama amesafiri, same applies to emotions, at the age 32, we are emotional matured kuna mambo madogo madogo hayasumbui kabisa
 
Back
Top Bottom