Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Haha, serikali ndio akili zao hizo 😂Hii mbinu huwa inatymika na serikali nyingi za kiafrika, mfano hapa kwetu wanaweza wakachoma mabanda ya wauza mitumba halafu wakawajengea eneo jipya kampeni zikikaribia