JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

How do we go there?
Mpka sasa hatujafikia uwezo wa kufanya deep space exploration Ni kwa sababu hatuna chombo chenye uwezo huo

Mfano kufika Cancri ni approximately miaka buku kutoka duniani.hivyo binadamu wa kawaida ana Life span ndogo hawezi fika na hatuna chombo kitachojiendesha miaka yote hiyo bila defects hivyo basi kufanikisha hilo ni tunaangalia "speed"

Ili kufanya deep space exploration tu travel.thousands na millions of light years kwa mda mfupi tunahitaji tuwe na chombo chenye spidi zaidi ya mwanga kitu ambacho mpka sasa ni impossible
Hivyo hatuwezi fika

Tukifanikiwa hilo tutajibu maswali.mengi kama vile

Are we alone in universe ?
 
Kuna uwezo mwingine ata Mungu hawezi kubali kutupatia. Moja wapo ni hayo sasa! Imagine sayari yote almasi, yaani kuchimba tu na kutuma down, duh
 
Afadhali hivyo kiko mbali [emoji23][emoji23][emoji23] kuna nchi za kihuni wangeenda kuchimba mawe yote wakiyaleta ardhini. Si superpower zingekuwa nyingi tu, hapo ndipo watu kufurishishiana vifua! [emoji1787]
[emoji23][emoji23]
 
Waafrika tungeangalia tu mfano kama mwezi tayari wamesha establish ma colonies.na kuna sehemu nchi husika wame establish ma research facilities yao

Na ktk mkakati wa hizi.nchi zilizofika.kwenye mwezi ni kutengeza base kwa ajili ya firms Ili kufanya human moon-travelling tourism
 
Back
Top Bottom