JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Tutauana lakini bado dunia inaendelea kiteknolojia zaidi huenda mbeleni tukaweza maana hata miaka hyo hatukuweza kujua kama kuna planets zipo huko juu wala kujua ipo siku tutafika kwenye mwezi
Hata ikifika hiyo siku, ka itafika. Labda watume vyombo pekee huko sio watu. Hakuna watu watakaokubali hayo 🤣🤣🤣 yaani hapa pluto tayari tena ni miaka sijui mingapi
 
Hata ikifika hiyo siku, ka itafika. Labda watume vyombo pekee huko sio watu. Hakuna watu watakaokubali hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hapa pluto tayari tena ni miaka sijui mingapi
Kama umevurugwa halafu kuna mkwanja ukienda na kurudi mbona volenteur watakuwepo tu [emoji3]


Hata hivyo astronout wataenda si ndio kazi zao
 
Hahaha nashukuru mkuu ila usinitajie mwrndazake kabisa, nahisi kupaliwa ujue[emoji28]
Kuna watu wakisikia jina la jamaa wanahisi kufakufa [emoji23],imagine mtu aliekuwa amebakiza miaka 2 astaafu halafu anakuja kufukuzwa kazi na kuambiwa miaka yote hiyo aliyoitumikia serikali alikuwa na cheti feki ni maumivu kiasi gani anapata?[emoji22]
 
Kama umevurugwa halafu kuna mkwanja ukienda na kurudi mbona volenteur watakuwepo tu [emoji3]


Hata hivyo astronout wataenda si ndio kazi zao
Wewe waeza kubali, ata ulipwe nn. Astronauts watawacha kazi ka ni hivyo 🤣🤣🤣 yaani utoke duniani uende pahali hujui utafika au utarudi lini, kudadadeki 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom