BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 980
- 2,679
- Thread starter
- #1,721
*Miaka ya nyuma watu walikuwa wanatumia kipande cha mkate kama kifutio cha penseli lakini mwaka 1770 Edward Naine alichanganya badala ya kuchukua kipande cha mkate kufuta alichukua rubber ambapo aligundua kipande cha rubber kinafua vizuri zaidi kuliko mkate, ndipo matumizi ya rubber kama kifutio cha penseli yakaibuka mpaka leo hii.