kuingia furaha kutoka matanga hahahahaHaha, 001 ndio code βοΈ
Its considered Rude to write in red ink in Portugal
Yeah ni kama danger signKwa Tanzania inaonekana au kuashiria mkosi
Totally true, mimi nikichelewaga kuamka nikifika ofisini najikuta nimesahau hadi password ya computer yanguKuamka alfajiri na kujiandaa ipasavyo kwa ajili ya siku yenye mafanikio husaidia kuwa na amani ya akili na moyo kuliko kuamka umechelewa ambapo utafanya kila kitu kwa pupa hivyo kusababisha mkazo (stress)
Imagine unaishi Iringa au Mbeya halafu unaoga maji baridi asubuhiKweli kabisa, hakikisha unaoga na maji baridi ile alfajiri. Utachangamka siku nzima! π€£
Kabisa, labda uwe mwenyeji. πkuingia furaha kutoka matanga hahahaha
Huku kwetu, hiyo ni kalamu ya mwalimu, sana sana shule za msingi, lakini ukiingia za upili na kuendelea una ruhusa kutumia yoyote ileIts considered Rude to write in red ink in Portugal
had one crazy nyt huko 001, balaaa.Kabisa, labda uwe mwenyeji. π
Mimi hata kuwe vipi nje, napiga mwili cold water hadi kieleweke. Huwa raha tu πImagine unaishi Iringa au Mbeya halafu unaoga maji baridi asubuhi
π π πhad one crazy nyt huko 001, balaaa.