Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In South Korea, there is an emergency number (113) to report spies....bila shaka hawa watu wanaishi kwa hofu sana
Yeah nadhani hii inaweza kuwa sababu ya msingi ya kufanya hivyoWana uhasama mkali sana na korea kaskazini bila kusahau china pia
The two tiny holes in every BIC pen ensure that the air pressure is the same both inside and outside the pen, which helps the ink flow to the tip......ila hizi BIC zimepotes sana, zilikuja speedo nazozikapotea
Ooh kumbe zilikua zinatengenezwa hapahapa, nilikua sijui, nilishangaa zikapotea ghaflaZilikua zinatengenezwa na Mzee Mengi kama sijakosea enzi zile za good days
😂 😂 😂 No, it's VijuDid you mean Jitu Patel?
Umri unavyozidi kwenda mwili unadhoofika, ndio maana siku hizi naona watu wazima wengi wanatembea au kufanya mazoezi nadhani wanajaribu kukabiliana na madhaifu ya mwiliKukosa usingizi wa kutosha kulingana na umri husababisha matatizo katika mwili na kuathiri ukuaji wa misuli, huathiri uponyaji wa tishu na mambo mbalimbali ya muhimu yanayotokea wakati umelala
Kukosa usingizi wa kutosha kulingana na umri huathiri utendaji wa mwili (metabolism), hali (mood), kumbukumbu (memory) na utendaji wa moyo hivyo kuongeza hatari ya mtu kunenepa kupita kiasi, kupatwa kisukari, saratani na maradhi ya moyo
Thanks, ngoja nimcheki, simjui huyo😂 😂 😂 No, it's Viju
I've read about this a long time ago, funny sanaIn 2014, a missing woman on vacation in Iceland was found when it was discovered that she was in the search party looking for herself 😅😅😅