JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

*Huko nchini Czech kuna kanisa linaloitwa "The Seldec Ossuary" ambapo kanisa hilo limepambwa kwa mifupa na vifuvu halisi kabisa vya binadamu waliokufa, hii ilitokea kwasababu ya ufinyu wa eneo la kufanyia maziko. Hivyo viongozi wa kanisa hilo waliamua mifupa ya marehemu hao iwe sehemu ya kanisa hilo kwakuwa marehemu hao watakuwa karibu zaidi na Mungu*
images.jpg
images%20(2).jpg
images%20(3).jpg
 
I-quote hiyo post namba 1 inayoelezea ndoto na mashine ya kurekodi tuione.

Hii hapa chini kwenye maandishi ambayo ni bold

*Kama dunia ikikosa oxygen kwa sekunde 5 hapo kila kitu kilichojengwa kwa zenge kitageuka vumbi*


*Wanasayansi kutoka japani wamegundua mashine ijulikanayo kama MRI ambayo inauwezo wa kurekodi ndoto zako unazoota unapolala na kuzitunza ukaja kuziangalia baadae*
 
Hii hapa chini kwenye maandishi ambayo ni bold
Ok fine.. I think its possible kwa MRI kurekodi ndoto.

Inawezekana nikawa na swali hapo hapo, wanabadili vipi ile record ya MRI kwenda kwenye video na mtu akaona alichoota!

Anyways, nafkiri kutakuwa na njia ya kuliwezesha hilo, japo bado sina idea mpaka sasa.
 
Siyo kweli. Machine za kurekodi ndoto zipo sasa hivi
Anzia kwenye hii quote yako[emoji121] kisha unambie sehemu ambayo sio kweli ni wapi?

Usinifikirie vibaya mkuu, mimi napenda kukosolewa, ndio inanifanya nijifunze zaidi.
 
Ndio
kuna fact hapo juu kasema kuhusu huo ugonjwa kua mgonjwa anaamini yeye ni ng'ombe 🤭😂😂😂 sasa anieleweshe vizur sjaelewa
Ndio Yani mtu anajitambua Kama ng'ombe na sio binadamu na anafanya kabisa vitendo na tabia za ng'ombe Kama kula majani tena huku anatembelea mikono na miguu Kama ng'ombe.
 
Back
Top Bottom