rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Zipo Nan kawahi kuzitumia!?Siyo kweli. Machine za kurekodi ndoto zipo sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo Nan kawahi kuzitumia!?Siyo kweli. Machine za kurekodi ndoto zipo sasa hivi
Kyoto, Japan. Siyo TokyoZipo Nan kawahi kuzitumia!?
Mkuu Makanyaga hilo suala la mashine za kurekodi ndoto sijalizungumzia hapo wala silijui..Siyo kweli. Machine za kurekodi ndoto zipo sasa hivi
I-quote hiyo post namba 1 inayoelezea ndoto na mashine ya kurekodi tuione.Hii siyo kweli. Kuna mashine za kurekodi ndoto kwa muda huu. Soma post namba moja kwenye uzi huu, hiyo fact ameitaja
You simply have to google on the web,..., like "dream recording machine"... or MRI dream recording machine. By doing this you get several options / choices at your disposalI-quote hiyo post namba 1 inayoelezea ndoto na mashine ya kurekodi tuione.
I-quote hiyo post namba 1 inayoelezea ndoto na mashine ya kurekodi tuione.
*Kama dunia ikikosa oxygen kwa sekunde 5 hapo kila kitu kilichojengwa kwa zenge kitageuka vumbi*
*Wanasayansi kutoka japani wamegundua mashine ijulikanayo kama MRI ambayo inauwezo wa kurekodi ndoto zako unazoota unapolala na kuzitunza ukaja kuziangalia baadae*
Ok fine.. I think its possible kwa MRI kurekodi ndoto.Hii hapa chini kwenye maandishi ambayo ni bold
Bado hujajibu.. Traceback hiyo reply yangu usome ulivyoandika wewe na mimi nilivyouliza then unipe jibu mkuu!Nimeshakujibu
Anzia kwenye hii quote yako[emoji121] kisha unambie sehemu ambayo sio kweli ni wapi?Siyo kweli. Machine za kurekodi ndoto zipo sasa hivi
naikukubali sana hii"If you're the Smartest Person In The Room You're In The Wrong Room"
Ndio Yani mtu anajitambua Kama ng'ombe na sio binadamu na anafanya kabisa vitendo na tabia za ng'ombe Kama kula majani tena huku anatembelea mikono na miguu Kama ng'ombe.kuna fact hapo juu kasema kuhusu huo ugonjwa kua mgonjwa anaamini yeye ni ng'ombe 🤭😂😂😂 sasa anieleweshe vizur sjaelewa
Banging your head against a wall for one hour burns 150 calories.
Sasa si tutaomekana vichaa 🤣🤣🤣
Halikadhalika na figo
Pumbu moja ni kubwa kuliko lengine
Mkuu unataka kuniambia hii manzi na yenyewe inanifikiriaga kumbe🤔🤔🤔Je wajua ?
Kushindwa kumtoa mtu akilini mwako inamaanisha kwamba na wewe upo akilini mwa mtu huyo.
Noted