JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Ukubwa wa moyo wa nyangumi wa bluu Ni sawa na gari ndogo.
Na mishipa yake ya damu Ni mikubwa kiasi kwamba mtu mzima anaweza ogelea ndani yake bila shida yoyote!
 
Haswa Hilo hilo, Kuna viungo huwa havifanani aisee, Mimi hata miguu nikivaa kiatu lazima nibanwe kimoja kipwaye
Na kwny mguu huwa ni wa kushoto pia? Ila nadhani hata kihisia pia hubeba tofauti,yani titi la kushoto litakua na msisimko zaidi kuliko la kulia.
 
New Facts
Screenshot_20201002-175153_1601882071823.jpg
Screenshot_20201002-175542_1601882034958.jpg
Screenshot_20201003-090149_1601882001775.jpg
Screenshot_20201003-124400_1601881958647.jpg
Screenshot_20201004-133304_1601881881836.jpg
 
[emoji23][emoji23]hata nyonyo moja ni kubwa kuliko mwenzake
Iko hivyo yani.

Kiujumla viungo vyote vya mwili ambavyo vipo bilateral (yaani viwili viwili) huwa vinatofautiana kwenye ukubwa na nafasi.

1. Figo ya kulia ipo chini kuliko figo ya kushoto kutokana na uwepo wa Ini.

2. Sikio lako moja ni dogo na jengine kubwa.

3. Mkono na mguu wako mmoja ni mrefu kuliko mwengine.

4. Katika mapafu yako, pafu la kushoto ni dogo kuliko la kulia.

Kila kitu kina sababu yake, ila kiimani tunasema "Binadamu hajakamilika"
 
*William Shakespeare ndiye mtu wa kwanza kutumia matusi kuhusu wazazi*

*Mwili unatakiwa kulala masaa manne mara mbili kwa siku badala ya masaa nane mara moja kwa siku*

*Dolphins na binadamu ndio spishi pekee duniani wanaofanya mapenzi kama starehe lakini wengine wote hufanya mapenzi kwa lengo moja tu la kuzaliana*
Tembo je?
 
Iko hivyo yani.

Kiujumla viungo vyote vya mwili ambavyo vipo bilateral (yaani viwili viwili) huwa vinatofautiana kwenye ukubwa na nafasi.

1. Figo ya kulia ipo chini kuliko figo ya kushoto kutokana na uwepo wa Ini.

2. Sikio lako moja ni dogo na jengine kubwa.

3. Mkono na mguu wako mmoja ni mrefu kuliko mwengine.

4. Katika mapafu yako, pafu la kushoto ni dogo kuliko la kulia.

Kila kitu kina sababu yake, ila kiimani tunasema "Binadamu hajakamilika"
Ni kweli kabisa aisee
 
Yeah! La kushoto huwa ni dogo kutokana na uwepo wa moyo..

Lingekuwa kubwa kama la kulia madaktari wangeshindwa kupata Apical pulse.

Guess what?[emoji2]
Langu la kushoto ni kubwa kuliko la kulia
 
Langu la kushoto ni kubwa kuliko la kulia
Ooh ok fine.. Nilichanganya madawa. by the way nilimisunderstand ile statement.

Ofcoarse nikiri kuwa nilikuwa sijui lipi ni kubwa, la kushoto au la kulia but nafikiri sababu ile ile kwamba kwa namna moja ama nyingine inahusiana na location ya Apical Pulses za moyo.

Acha nichunguze zaidi!
 
Back
Top Bottom