JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

What is a fact and how do you know it is actually a fact, not something you merely think of as a fact?
 
Je wajua !

Ukiwa unaongea na mtu huku ukiwa unataja sana jina lake hii itasaidia sana kupendwa na mtu huyo

Noted
Un-end experience
Inaitwa Self Esteem.. Yaani mtu anafeel ile love!

Unavyomuita mtu kwa jina lake anahisi kabisa kama unamjali.

Kwa mfano mgonjwa anapokuwa hospitali, kitendo cha daktari kumuita kwa jina lake badala ya admission number tayari inampa moyo wa kupona haraka kwa sababu anahisi watu wanamjali na yale matibabu yanatolewa kwa dhati kabisa kwake.
 
Unajua kwamba?


Sehemu ya ubongo inayoitwa Broca's area inayohusika na Language abbreviations (mpangilio wa maneno) & Speaking (kuongea) imeendelea zaidi kwa wanawake kuliko kwa wanaume.

Hii ndio sababu wanawake wanaweza kuhadithia vitu kwa ufasaha zaidi (Mfano, Umbea) na pia hufanya vyema kwenye public speaking kuliko wanaume (maneno yanajiunda kwa haraka zaidi kutokana na uwepo wa motor actions nyingi kwenye sehemu hiyo)
 
Unajua kwamba?


Wakati unaotaka kutoa haja kubwa ndio wakati unaotaka kutoa haja ndogo pia.

Ni kutokana na sehemu hizo zote mbili kupewa supply ya sympathetic nerve innervation ya aina moja (yaani nerve inayopeleka taarifa kwenye njia ya haja kubwa ndio hiyo hiyo inayopeleka taarifa kwenye njia ya haja ndogo)

Hii ndio sababu mtu akifa anatoa haja zote mbili kwa wakati mmoja.
 
.
_IMG_16020890771010057.jpg
IMG-20201007-WA0165.jpg
 
Back
Top Bottom