JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Kutokana na miale ya mlipuko wa nyuklia nchini Japan, sungura walikuwa wanazaliwa bila masikio.
IMG_16069317444216949.jpg
 
JE, WAJUA?

Ukinywa sumu ya nyoka (mdomoni) hutopata madhara yeyote. Shida inakuja pale itakapoingia kwenye mfumo wa damu (kwa mfano; uking'atwa)

Hii ni kwa sababu, takribani sumu zote zinazotokana na nyoka zimeundwa na protein, ambapo kiwango kikubwa huharibiwa na kemikali zilizopo tumboni kabla ya kuingia kwenye mzunguko wa damu.
 
Back
Top Bottom