JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

I disagree with this. Wanawake wangekuwa wana mature faste emotionaly basi heartbreaks nyingi zisingekuwa zinatokea.

Wanawake wenyewe tunawachezea hisia kama vile tunavyopiga dandana bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee baba mara nyingi tunaowachezea unakuta tumewazidi sana umri lakini mkiwa na umri sawa huwezi kuwa tricky sana kwake unless umemzidi hela na ye ni mtumwa wa materials
 
Mzee baba mara nyingi tunaowachezea unakuta tumewazidi sana umri lakini mkiwa na umri sawa huwezi kuwa tricky sana kwake unless umemzidi hela na ye ni mtumwa wa materials
Sasa ndio maana nasema kuwa huo utafiti sikubaliani nao maana ata kama am 40 demu yupo 26 sii lazima emotionally yupo karibia kupeak...inakuwaje namchezea hisia?
 
Sasa ndio maana nasema kuwa huo utafiti sikubaliani nao maana ata kama am 40 demu yupo 26 sii lazima emotionally yupo karibia kupeak...inakuwaje namchezea hisia?
Mizani sawa hapa ni wote muwe kwenye umri unaolingana, Kwa hiyo gap ya umri unakua ushamzidi kila kitu ndo mana ni rahisi kumchezea
 
Back
Top Bottom