Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hawa wakigusa tuu ujue demu wako kasasambuliwa mbususuEvery girl has that one guy she has a crush on forever
Post ya Abrianna ilionyesha 20% is from Amazon forest, ukijumlisha na hii kutoka baharini ni 90% inamaana 10% ni kutoka misitu mingine yote iliyobaki duniani, Hiyo amazon ni msitu mkubwa namna gani kuzidi misitu mingine yote duniani ikijumlishwa?Most of the world’s oxygen (about 70%) comes from seaweeds and other microscopic algae.
Ukweli mchungu huu, yani mtu umeoa halafu kuna boya huko anaitwa crush hawezi kunyimwa hata iweje inauma sana [emoji1787]Ndio hawa wakigusa tuu ujue demu wako kasasambuliwa mbususu
mkuu kuna uhusiano gani oxygen na zege kugeuka vumbi?Habari zenu wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, dhumuni la Uzi huu ni kupeana Facts au kujuzana mambo mbalimbali yanaweza kuwa ya kustaajabisha au la lakini hapo tunakuwa na lengo moja kuu la kujifunza na kuburudika pia kwa kujuzana mambo ya kushangaza. Karibuni nyote kupeana Facts, hapa tutakuwa tunapeana statement zisizo ndefu iwapo mtu atataka maelezo kwa undani zaidi taarifa zote zipo mtandaoni. Mimi naanza kama ifuatavyo.
Kuwa karibu zaidi na mbwa wako kunasababisha ubongo wako kuzalisha kemikali ziitwazo dopamine na oxytocin ambapo ni sawa kama umpendavyo mtoto
Nchini Norway mwanafunzi yeyote kutoka nje ya nchi hiyo anaruhusiwa kusoma bure kabisa katika vyuo vya umma
Tarehe ya mwisho ambayo wanadamu wote waliishi duniani ilikuwa ni 2 November 2002 baada ya hapo ni lazma kuwepo mtu huko nje ya dunia (international space station) kwahiyo mpaka sasa sio wanadamu wote wanaishi duniani kama ilivyo kuwa kabla ya hiyo tarehe
Kama dunia ikikosa oxygen kwa sekunde 5 hapo kila kitu kilichojengwa kwa zenge kitageuka vumbi
Wanasayansi kutoka japani wamegundua mashine ijulikanayo kama MRI ambayo inauwezo wa kurekodi ndoto zako unazoota unapolala na kuzitunza ukaja kuziangalia baadae
Sperm moja ina MB 32.5 ya taarifa za DNA kwahiyo inamaana bao moja la kawaida linakadiriwa kubeba data zenye ukubwa wa TB 1500 (terabytes)
Mtu anapofariki ubongo wake unakuwa na dakika 7 za kurudisha nyuma kumbukumbu zote za mtu huyo katika mfumo wa ndoto
Albatross ndiye ndege mkubwa mwenye uwezo wa kukaa angani muda mrefu bila kugusa chini hutumia miaka yao 6 ya kwanza kupaa tuu baharini bila kugusa ardhi
Sikio la kulia lipo vizuri zaidi katika kusikia maongezi na sikio la kushoto lipo vizuri zaidi katika kusikiliza Muziki
Daktari aitwaye Duncan McDougall alijaribu kuthibitisha uwepo wa roho ndani ya mwili wa binadamu ambapo alifanya hivyo kwa kupima uzito wa mtu anaye karibia kufa kisha kupima tena uzito wa mtu huyo huyo mara baada tu ya kufa, alifanya hivyo kwa watu sita tofauti tofauti ambapo majibu yalionesha kuwa wastani wa uzito uliopotea baada ya kufariki watu hao ni gram 21 kwa wote
Kama ilivyo alama za vidole kila mtu ana alama za kipekee katika ulimi
Twiga ana ulimi mweusi wenye urefu wa nchi 20
Matirio ghali zaidi duniani inaitwa Antimatter ambapo ina thamani ya dollar trillion 62.5 kwa gram, hii inatosha kuangamiza mji mzima wa New York
Nge ni mdudu mwenye uwezo wa kubana mpumzi hadi siku 6 pia ana uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kula chochote
Eurotomia ni ile hali ya mwanamke kwa na ujasiri kujiona mzuri na kuhisi kuna mtu anampenda
Boanthropy ni tatizo la kisaikolojia ambapo mgonjwa anaamini kabisa yeye ni ng'ombe
Kuna kisiwa cha takataka katika bahari ya Pacific ambacho kinaitwa "Great Pacific garbage patch" ambacho kina ukubwa mara 3 zaidi ya nchi ya ufaransa
Tarehe 18 April 1930 BBC walitangaza kuwa hakuna habari siku hiyo hivyo waliweka tuu mziki wa piano
Najua kuna Facts nyingi sana hivyo wadau tujitahidi kushare hizi taarifa tuzidi kujifunza. Kama unapata walakini katika facts hizo fatilia zaidi mtandaoni utapata taarifa kwa kina zaidi.
Karibuni,
Kuwa na crush haimaanishi unampa mbususu😅Ndio hawa wakigusa tuu ujue demu wako kasasambuliwa mbususu
Ila hata wewe kuna demu ni all time crush hata kama umeoa, na kuwa crush wako haimaanishi unakuwa kwente mahusiano nae, its just someone you admire secretlyUkweli mchungu huu, yani mtu umeoa halafu kuna boya huko anaitwa crush hawezi kunyimwa hata iweje inauma sana [emoji1787]
Scientists estimate that 50-80% of the oxygen production on Earth comes from the ocean. The majority of this production is from oceanic plankton.Post ya Abrianna ilionyesha 20% is from Amazon forest, ukijumlisha na hii kutoka baharini ni 90% inamaana 10% ni kutoka misitu mingine yote iliyobaki duniani, Hiyo amazon ni msitu mkubwa namna gani kuzidi misitu mingine yote duniani ikijumlishwa?
Q: Does the Amazon produce 20% of the world’s oxygen? A: No. Scientists estimate the percentage is closer to 6 to 9%, and the Amazon ultimately consumes nearly all of that oxygen itself.Post ya Abrianna ilionyesha 20% is from Amazon forest, ukijumlisha na hii kutoka baharini ni 90% inamaana 10% ni kutoka misitu mingine yote iliyobaki duniani, Hiyo amazon ni msitu mkubwa namna gani kuzidi misitu mingine yote duniani ikijumlishwa?
Taiga covers 17 million square kilometres (6.6 million square miles) or 11.5% of the Earth's land area, second only to deserts and xeric shrublands. The largest areas are located in Russia and Canada.Post ya Abrianna ilionyesha 20% is from Amazon forest, ukijumlisha na hii kutoka baharini ni 90% inamaana 10% ni kutoka misitu mingine yote iliyobaki duniani, Hiyo amazon ni msitu mkubwa namna gani kuzidi misitu mingine yote duniani ikijumlishwa?
Eh, hapa kweli, yaani waogopa kutafunwa kweupe 🤣🤣🤣99% of people get scared when someone says can i ask you something?
Hao ni wale wa kule mbelembele, sio sisi. Huku ni msambwanda🤣A study found that men are more sexually attracted to women with large pupils
Haha, sema kulizwa 🤣🤣🤣According to a study, if you are always the one to text a person first,there is 90% possibility that the person is not interested in you