JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Hapana, nadhani kila.mwanamke ana preference zake, na binafsi sidhani kama ukubwa wa maumbile au udogo una impact yoyote kwenye sex as long ujue namna ya kumridhisha mwenzi wako
sasas wewe nae unanihangusha bwana...hapa unakuja kwenye threat ya facts alafu wewe huyo huyo umesema mliconduct research na kuja na hizo findings.
hii statement yako mwenyewe tena ina contradict findings. how so au wewe mwenyewe u dnt trust research yako mwenyewe?
 
I do trust it lakini lakini am still confused kwa sababu motives zao ni tofauti na my own motives and i think its a broad discussion around na inahitaji more findings and more sampling
 
There are companies who provide cheating clients with “legitimate” alibis. Need a fake invitation or a cover story? The German company Perfect Alibi will come up with the perfect concoction...hii ingekuwepo bongo tungezalisha mapato sana
 
The official title of Idi Amin, the Ugandan dictator, was “His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular”.
 
Alikua na vyeo, hata mwenda zake alikaribia kujipa veo vyote hivi
 
The official title of Idi Amin, the Ugandan dictator, was “His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular”.
Ndio maana hakukaa kwa huu utopolo! 🤣 🤣 🤣
 
The official title of Idi Amin, the Ugandan dictator, was “His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular”.
Mkuu, umenikumbusha mbali sana. Yule jamaa wa football - "Al Hadji Diof" 👏🏽
 
Back
Top Bottom